Msaada: jinsi ya ku unlock hii modem ya airtel

Niko musoma. modem type ni ALCATEL na campuni AIRTEL
 
tatizo modemu yako bado sijaipata kidogo nipe dakika kama kumi ivi nitakuletea jibu
 
kaka ya kwangu ni airtel imei yake n 865720019030631 msaada tafadhal.
 
kaka ya kwangu ni airtel imei yake n 865720019030631 msaada tafadhal.

sasa iyo imei niya airtel gani kumbukei kuweka aina kama ni zte au huawei au aina zingine maana nashindwa kuleta jibu sahihi
 
sasa unapopata hizo unlocke code au flash code unafungulia wapi

Weka line tofauti na ya mtandao wa modem yoko. Kwa mfano modem yangu ni ya mtandao wa airtel, nikaweka line voda ikadai code nikaweka ndio ikakubali kukonect. Baada ya hapo natumia line ya voda au tigo au airtel bila shida.
 
usha unlock au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…