Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,110
- 173,861
Wadau kwema,
Recently nine download pc games za kutosha katika laptop yangu. Files ziko zipped katika .rar nimetumia winzip ku unzip ila swala la kusikitisha zile files kumbe ziko encrypted (locked) zinadai password kwanza hivyo nashindwa ku execute setup.
Kwa mtundu aliewahi kukutana na hii case je nitumie njia gani ku decrypt (unlock) such kind of files. Kama kuna third party software nipeni link wazee it wull be highly appreciated.