Msaada jinsi ya ku unlock AVG ant theft

Msaada jinsi ya ku unlock AVG ant theft

Verossa

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
16
Reaction score
6
Poleni na majukumu ya kila siku, naomba msaada wa ku unlock avg ant theft kwenye simu yangu.

Niliweka hii program muda mrefu kidogo, Leo nimejisahau nikabadili line ya simu ikajilock, Nimejaribu kutumia website yao ku unlock lakini unakataa.
 
ukiset kwa mara ya kwanza hio application unaambiwa ueke pin, maybe wewe uliimisconcept na password. ili kuipata tena hio app unatakiwa uipige hio pin kama namba ya simu.

mfano ulieka pin 7171 basi nenda sehemu ya kupigia simu andika 7171 kisha ipige utaona application inafunguka then eka details upya
 
Back
Top Bottom