mtafutaji kiongozi
Member
- Feb 17, 2015
- 35
- 11
Wanajamvi nina simu aina ya tecno h5 android version 4.2.2 (jelly bean ) nataka kuiwekea rom mpya ya kitkat 4.4.2 naombeni msaada jinsi ya kuroot iyo cm na kuweka custom rom inayo faa nisije uwa simu angu! Pia ningependa kujua app ipi ya ku root mungependekeza niitumia kulingana na sim angu? Ahsanten