Msaada: Jinsi ya ku root smartphone

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Habari zenu wana JF naombeni kujuzwa jinsi ya ku-root simu maana kuna baadhi ya apps nikifungua naambiwa nii-root kwanza alafu ndio niweze kutumia app hizo!!
 
habar zenu wana jf naombeni kujuzwa jins ya ku root cm maan kun baadh ya apps nikifungua naambiwa nii root kwanza alaf ndio niweze kutumia app hizo!!

unatumia Simu gan?
 
mm natumia huawei g630-u10 ninashida kama hiyo ya kuroot
 
mm natumia huawei g630-u10 ninashida kama hiyo ya kuroot

Simu nyingi za huawei zinakuja zikiwa zimelockiwa bootloader, kwa hiyo ni vema uka unlock bootloader kwanza ndiyo process za kuroot zianze. Ingawa simu nyingi za huawei ukishaunlock bootloader basi una-install SuperSU, halafu unakuwa umeshapata root access.
Ni vema ukawa muangalifu sana ili usjije kukosea baadhi ya processes. Ama kama utashindwa tafuta mtu mwenye uzoefu wa mambo hayo.
 
mie nimeiroot simu yangu but nataka kuirejesha kama mwanzo maana kuna baadhi ya software nilifuta sasa zinagoma kurudi CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
hizo app zinazoitaji root access ni zipo na itakuwa from unknown source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…