Msaada: Jinsi ya ku-install downloaded game katika ps3 kwa kutumia usb flash diskil

licopy folder lote kwenda kwenye GAMES kwenye internal hdd ya ps unless otherwise kama game ni la official licopy kwenye game ya herufi ndogo
Nashukuru mkuu nimefanikisha shida nilikuwa naweka katika flash lakini folder sikuchukua la ndani ambalo umenielekeza.... Nilivyoweka tu lilikubali . nashukuru mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niulize swali lingine,; hivi siku hizi mna-download games/movie wapi? Naona torrents sites nyingi hazieleweki zimefungwa, nilikuwa natumia zaidi kickass, extratorrents, paratebay na YIfy lakini sasa hazisomeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom