Kuhusu zile email, waombe tu samahani waliotumiwa hizo takataka. Muhimu ni kujua kuwa hutajaribu kufungua email ambayo huijui, ukifungua tu imekula kwako. Niliwah kuwa na tatizo kama hilo nikagundua zilitumwa from my box, yaan nilizikuta kwenye sent item, nikagundua wamehack paswedi yangu. Nikabadilisha pasword ujinga ukaisha. Pole sana!