Msaada jinsi ya ku apdate pc game za fifa kupitia internet

Msaada jinsi ya ku apdate pc game za fifa kupitia internet

weka wazi hiyo game umenunua cd, au kwa origin au ni za kudownload na crack?? maana kila moja ina njia yake...nyingine unaweza ukadownload update yake tu na kuweka kwenye installation folder, nyingine ni lazima utumie origin..etc..
 
kama alivyosema mdau hapo juu mpaka uwe umenunua hilo game ndio utaweza kuli update kwa njia ya kawaida ya internet.

na njia ya ku update ni kuhakikisha tu kifaa chako kipo connected na internwt basi ukiclick update ita update
 
Back
Top Bottom