Msaada jinsi ya cheti cha form six au result slip 2017

Msaada jinsi ya cheti cha form six au result slip 2017

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,040
Reaction score
1,273
Habari wadau,nimeona kwenye baadhi ya vyuo kwenye hizi applications za vyuo mwaka huu 2017/18,wanahtaji cheti origino cha form six, swali langu ni..inakueje kwa waliomaliza mwaka huu.

Maana hawana hivyo vyeti,au kama itatumika RESULT SLIP je ninaweza ipata hapo Baraza la mitihani au ndio lazima kuifuata Kigoma Secondary nilipomalizia form six,maana kwa sasa nipo Dar.

Msaada kwa anaejua tafadhali
 
Habari wadau,nimeona kwenye baadhi ya vyuo kwenye hizi applications za vyuo mwaka huu 2017/18,wanahtaji cheti origino cha form six,swali langu ni..inakueje kwa waliomaliza mwaka huu,maana hawana hivyo vyeti,au kama itatumika RESULT SLIP je ninaweza ipata hapo Baraza la mitihani au ndio lazima kuifuata Kigoma Secondary nilipomalizia form six,maana kwa sasa nipo Dar...msaada kwa anaejua tafadhari
Apo mkuu ni result slip kwa walomalza 2017 na hutoipata baraza ukienda, hua zinapelekwa ktk v2o walivofanyia mitihan wanafnz wik1 baada ya kutangazwa kwa matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo mkuu ni result slip kwa walomalza 2017 na hutoipata baraza ukienda, hua zinapelekwa ktk v2o walivofanyia mitihan wanafnz wik1 baada ya kutangazwa kwa matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe siku hizi kuna mabadiliko makubwa sana...Result slip ilikuwa ni jambo la haraka sana kupata pale baraza la mitihani....Muanzisha uzi nenda kaiombe pale baraza...ni swala la ku-print tu....Wakikunyima watakuwa wamekufanyia roho mbaya....
 
Bado niko njia panda kuhusu upatikanaji wa result slip baraza la mitihani,mwenye uzoefu please!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiliana na uongozi wa shule yako, mara zote result slip unaipata pale ulipomalizia shule, sasa kimbembe kama unadaiwa madeni ya ada hapo shuleni ndo utakapoisoma namba

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Back
Top Bottom