Kwa kifupi hii feature haiko officially supported na Android lakini kuna baadhi ya tablet zinakubali na baadhi ta usb dongles, hakuna njia ya kujua zaidi ya kujaribu tena kwa vile hiyo tablet ni mchina inakuwa ngumu kupata info. Cheki hii app https://play.google.com/store/apps/details?id=de.draisberghof.pppwidget&hl=en kwa msaada zaidi
Mi ninayo tablet ya mchina. Ukitaka internet tafuta modem ya 3g ndio itafaa. Mi natumia modem ya Safaricom 3g nilinunua ofisi za zain nimeweka line ya vodacom nakula cheka internet kama kawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.