Msaada jino maumivu ya jino

Msaada jino maumivu ya jino

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,101
Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .
 
Jino hakuna dawa ya kienyeji itakutibu upone.

Unachofanya unatuliza tu Ila Kama ni jino la juu badlisha upande wa kutafunia

Nenda hosptali either walitoe au walizibe Kama limeliwa na wadudu au wakate miashipa .

Dawa za kituliza maumivu ya jino

Mkojo wa Ahsubui
Maji ya chumvi
Kuswaki kabla ya kulala
Tumia Colgate

Tumia diclop
 
Hospital wamesema jino lipo vizuri halina tatizo
 
Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .

Pole sana.

Nenda hospitalini ukaonane na daktari wa kinywa na meno ili uhudumiwe.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom