Msaada. Jino kuota juu ya fizi

Msaada. Jino kuota juu ya fizi

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
178
Nina mtoto wa kike mwenye miaka minne. Alikatika meno ya awali(ya maziwa) Kama meno manne ya juu kwa sababu alitumia sana dawa za maji. Sasa hivi jino jipya linachungulia(linaota) juu ya fizi. Je lipi lifanyike hapo?.
 
Poleni, mpeleke hospitali wataliangalia either watalitoa jino au watakata vinyama vinavyolizunguka jino,

Heri umegundua mapema umuwaishe hospitali likikua zaidi litamletea maumivu sana.
 
Pole, nahisi meno ya awali bado yapo kwa ndani..!
Mpeleke hospitali madaktari watajua wafanye nini?
 
Nina mtoto wa kike mwenye miaka minne. Alikatika meno ya awali(ya maziwa) Kama meno manne ya juu kwa sababu alitumia sana dawa za maji. Sasa hivi jino jipya linachungulia(linaota) juu ya fizi. Je lipi lifanyike hapo?.
Habari yako mkuu je uliweza kupata tiba ya hichi kitu maana leo nimeona mtoto wa dada yangu nae mwanae katokewa na hali kama hii jino limeota juu ya Fizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom