SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,656
- 724
Salaam alekyum wana JF.
Nina tatizo kwenye kujaza form za bodi ya mkopo kila nikiingiza namba ya shule ya Jikomboe Secondary 4535 inasema NO SCHOOL FOUND WITH THIS NUMBER ,,nimejaribu kuwapigia help desk bodi ya mkopo lakin hawapatikan namba zao zote ,,nahitaji ushauri wenu wa JF niconfirm ivo ivo ikiwa imeandikwa NOT FOUND au nifanyeje maana niko mkoani siwez kufika ofisini kwao