Msaada jiko jipya la Gesi kutoa moshi chini

bahati10

Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
6
Reaction score
0
Wapendwa naombeni msaada nimenunua jiko la umeme sasa kwenye kujaribu naona linatoa moshi chini
Je hii ni kawaida?
 
Mkuu title jiko la gesi, mada jiko la umeme.

1. Which is which?

2. Kama ni la gesi bila shaka hujaangalia vyema kuondoa baadhi ya packing materials lilizokuja nazo hivyo zinaungua. Au pana kitu karibu yake for some reason kinaungua.

3. Kama ni la umeme hapo in addition na hayo hapo juu, inaweza kuwa sehemu (loose) imelegea inaungua kwa sababu ya perpetual sparks zinazoambatana na loose cables. Kwamba rubber kwenye wire inaungua.

"Qualifications hapo ni macho mkuu kufuatilia kuona ni nini kinachoungua."

Maelezo haya yote yana assumptions kuwa jiko lako ni la kileo. Kuwa si la kijiweni eti kwamba kwa joto lake tu, rangi yake ndiyo inayoungua.
 
Jiko la umeme
 
Jiko la umeme

Umesema unatokea chini, haijulikani chini una maana ipi. Lina oven?

Ingekuwa huu kwenye plates mtu ungesema moshi utakata na hiyo si shida.

Kuwa upande salama na kama unauzoefu mdogo na umeme, mwite fundi.

Ni hatari kwako mkuu.
 
Chini huko uvunguni
1000281682.jpg
 
Back
Top Bottom