Msaada: Je huu ni ugonjwa gani?

kirisha

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
573
663
Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja katika mahusiano wiki tatu nyuma tukasex nilivyomaliza kusex tu naye mida ya jioni nilikuwa nikienda kukujoa nahisi maumivu makali ila baada ya siku mbili yakaisha.

Sasa jumapili tumesex tena ile hali imejirudia tena na sasa hivi sehemu yangu ya siri inatoa usaha.

Je ni tatizo gani hili?
 
Stareh tunazipenda ila mwisho wake mbaya
Wengi wameteketea kwa kuendekeza huo mchezo,hyo ni gonorhea iwah mapema kabla haijakomaa
 
Kwasababu nimejaribu kusoma naona kama kisono ila toka siku hiyo na mwili wangu ulibadilika sana itanibidi kesho nipime magonjwa yote
Na siku zote magonjwa ya Ngono dalili zake kwa mwanamke kujitokeza huchukua mda marefu huenda hata huyo aliye kuambukiza hajui km ana ugonjwa ila kwa mwanaume dalili hujitokeza ndan ya siku 3 tangu kukutana na mwanamke mwenye ugonjwa huo
 
Back
Top Bottom