Msaada jamiiforums Dr's

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Poleni na majukumu ya kila siku! Ndugu zangu Naomba kwanza nithamin mchango wenu katika suala la kujali Afya za watanzania wenzenu kwa kutoa elimu,na msaada wa kimawazo bure pasipo na tozo yeyote! Mbarikiwe! Kwa hilo Mwenzenu nina "tatizo la kupata maumivu ya muda mrefu katika uume baada ya kufanya mapenzi"maumivu hudumu kwa takribani miez mitatu tatizo nini naombeni msaada wenu!
 
Pole sana.

Hebu funguka kidogo. Nini dalili zake nyingine? Je kuna uchafu wowote unaotoka? Maumivu yapona baada ya matibabu yoyote au? Ebu elezea zaidi kidogo.

Unajua Dr wa kizungu tofauti na wale traditional practitioners. Wenzetu waagua baada ya kumweleza kidogo tu kama ulivyofanya. Sisi tunategemea sana unavyojieleza mwenyewe kwa ufasaha, baadaye ndiyo tunatumia mikono, macho na senses nyingine kukupima. Baada ya hapo tunatumia vipimo kama vile maabara, x-ray, n.k.
 
Sawa asante kiukweli hakuna uchafu wowote ule ila maumivu tu ambayo nayapata!
 
Back
Top Bottom