miku Senior Member Joined Oct 24, 2011 Posts 148 Reaction score 190 Jun 27, 2014 #1 Nimepigiwa cmu na kampuni moja inaitwa transevent co ltd kwa ajili ya interview lkn cna kumbukumbu km nilishaomba kazi kwao,km kuna mtu anajua lolote khs hii kampuni ili niweke kumbukumbu zangu sawa
Nimepigiwa cmu na kampuni moja inaitwa transevent co ltd kwa ajili ya interview lkn cna kumbukumbu km nilishaomba kazi kwao,km kuna mtu anajua lolote khs hii kampuni ili niweke kumbukumbu zangu sawa