Msaada jamani

Pole sana yuko kibiashara zaidi uchumi anao anautumia vema
 
Inategemea
Ulipomtongoza uliingia na strategy gani
 
Msichana niliye naye anakuwa anataka pesa kila ninapota kumgegeda je nime piga wrong number labda sio nyota yangu?

Ingekuwa wrong number asingepokea!!!!!!!
ninavyojua mimi upo kwenye majaribio ya uvumilivu ili siku ukiingia kwenye mtihani wenyewe isiwe taabu.

hata hivyo kwa kuwa inasomeka hujaoa una bahati unapata practical ya kuhudumia i.e kodi ya meza, lakini zaidi zaidi LUKU.
 
nami demu nilienae anatabia kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…