msaada jamani

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
322
jaman kila nikijaribu kuplay uideos online computer inaniambia 'A PLUGIN IS NEEDED TO DISPLY THIS CONTENT.INSTALL PLUGIN,nikijaribu kuistall ikifika mwisho inafeli,natumia DELL ninatakiwa niwe na program gan ili niweze kuplay videos online mfano kwenye youtube bila kukwamakwama?
 
kukwamakwama kunatokana na internet,ili kuplay video unatakiwa kuwa na flash player.
 
adobe flash player, i-search kwenye google, ukishai-download au unapoaanza tu kui-download ikate browser yako lasivyo itakusumbuwa. Au kama vipi tumia googlechrome ambayo tayari ina flashplayer ndani yake.
 
tumia google chrome au internet ezplorer 10 kupanda juu haitahitaji plugin kuplay video.

kukwama kwama ni internet yako ipo slow.

ukiaona kila saa unaambiwa install plugin hilo ni tangazo wanataka uclick wakusumbue tu. sometime inakua malware kabisa
 
na Virus nao wanaweza kusababisha tatizo tajwa hapo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…