Msaada jamani

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
183
31
nimenunua simu aina ya iphone 4S ya kichina yenye line moja anayejua namna ya kuinstol software za wasapp na instalgram
asanteni
 
Yaani kwa operating systems za kichina unategemea ufanye installation ya Whatsapp na Instagram? Kwa hilo usahau kabisa mpaka utakapojifunza kununua vitu original na sio hivyo vya Xi Jinping. Whatsapp na Instagram zina-support baadhi ya operating systems tu na sio kila OS
 
Mh!!ushapigwa wangu,izo za kichina full majanga,nami mwanzo niliwahipatikana nikauziwa kama iyo,ilikua kushika net mpaka ijisikie,nikafundishwa kununua vitu original,now sina tabu full ku enjoy
 
Mh!!ushapigwa wangu,izo za kichina full majanga,nami mwanzo niliwahipatikana nikauziwa kama iyo,ilikua kushika net mpaka ijisikie,nikafundishwa kununua vitu original,now sina tabu full ku enjoy

Hhahaa itabidi na mm nianze kununua vitu original ila hii ya kwangu mkuu mambo ya net unakimbiza kishenzi mpaka nikadhanishi labda instolation itakubali
 
Hhahaa itabidi na mm nianze kununua vitu original ila hii ya kwangu mkuu mambo ya net unakimbiza kishenzi mpaka nikadhanishi labda instolation itakubali

Uliwezaje kuunganisha internet, ninayo ila inanisumbua kwenye kuunganisha.
 
kaka Kuna simu za kichna IMARA, na ni za kisasa tena kuliko hzo unazozijua mana zipo Android na windows phone zinaitwa XIAOMI,
japokuwa inasemwa kuna vitu wamecopy Apple,
ila wanapeta tu na wameingia GSM ARENA ingia hapa
.
.
All Xiaomi phones
.
.
 
uliwezaje kuunganisha internet, ninayo ila inanisumbua kwenye kuunganisha.

kuna rafiki yangu ambaye rafiki yake amesomea mambo ya it anafanyia kazi vodacom ndo aliniunganishia

na iko vizuri kwenye internet natumiaga uc browers mafili ya pdf kama kawaida inafungua
 
kaka kuna simu za kichna imara, na ni za kisasa tena kuliko hzo unazozijua mana zipo android na windows phone zinaitwa xiaomi,
japokuwa inasemwa kuna vitu wamecopy apple,
ila wanapeta tu na wameingia gsm arena ingia hapa
.
.
all xiaomi phones
.
.

duu mkuu inaonyesha hii ni kifaa aisee inauzwa bei gani kwasababu cjaona price yake na kwa hapa bongo zinapatikana sanasana wapi na maanisha mikoa mm nipo kilimanjaro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom