Msaada jamani

Msaada jamani

Ngwinji

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
16
Reaction score
1
Jamani eeh, naombeni mnisaidie naeza kupata wapi cd za psp na betri??
 
kaka CD za nini tena? nipe hiyo PSP nikuwekee CFW ili ucweke games kwa memory card yake. kutoka hapo ni kuniambia unataka games zipi. bei= unilinde tu mwaya :biggrin:
 
Psp yangu ina v6.10 kwaio inabidi ni upgrade firmware kwanza na ku update inabidi battery iwe full halafu sasa battery sina, I use the ac adapter so to use cfw I need a battery..... Umeona kazi iyo
 
Back
Top Bottom