Msaada jamani

Sina uhakika kama wawezapata mpya dukani...ni za siku nyingi sana tusubiri watujuze
 
Kwahapa Tanzania bei ya iPhone 3GS GB16 original nikama sh ngapi?

Kwa dukani ni ngumu kupatikana labda ujaribu kwa mafundi wa k/koo.

Bei itategemea na matatizo yanayomkabili fundi/muuzaji kwa wakati huo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…