Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ThinkPad, Jun 17, 2009.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wadau mamabo vipi ?
  Natafuta Laptop LCD INVERTER (inayosababisha mwanga ktk kioo cha laptop).

  Nina Laptop imeleta shida haitoi mwanga kabisa nimekuta fuse mojawapo ya lcd inverter imekatika kibaya zaidi kuna kifaa kimevunjika[​IMG] sasa kama yeyote wa mambo haya naomba anisaidie nipata inverte mpya au used na
  specification za inverter yangu:
  input volt = 5v
  inch 12 screen.

  Jamani hata kama kuna mtu mwenye njia mbadala ya kutatua hilo tatizo nitashukuru.
  its my only laptop.
  Nawakilisha
   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mafundi wanao-repair computer wanaweza kutatua tatizo lako. They can even replace the whole screen when needed.
  Wadau hapa watakuelekeza wapi uende kwa mafundi walio na reputation nzuri kwenye repair za laptops.
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thanks nimepata tayari ile ile of the same type.
  Asanteni sana wadau ambao mmeni pm.
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Ni vema kama umepata.
  Je shida yako imeisha? Laptop yako inapata mwanga katika LCD yake?
  Ni hayo tu mkuu!
   
Loading...