Habari zenu wana jf.
Naomba msaada wa kubadilisha lugha kwenye komputa, nimeachiwa komputa na mkorea inasoma kikorea kila kitu nilikuwa nafanya naye kazi ofisini moja sasa yeye muda wake wakukaa nchini umeisha akaamua aniachie komputa yake,naamesha ondoka, nilimwambia anibadilishie naona mambo yalikuwa mengi naleo kaileta.
kutoka kikorea kewnda kingereza.