nikweli inachukua mda na inauma sana!!pole sana na yanayokusibu...mie nataka kukwambia kuwa wat u going thru ni kawaida kile kipindi ambapo ndio kwanza meachana....ukweli ni kwamba sisi ni binadamu na hivyo huwezi kuzizima ghafla tuu kama unavyozima switch ya umee. ina chukuwa muda. hivyo inabidi uwe mwenyesubira na kwamba kutakuwa na wakati ambapo utatamani kuwa nae but lazima ujue kuwa huyo sio mzuri kwako kama wewe unajaa na mawazo na moyo kuumia. human adaptation to changes takes a while......ulishazoea kuwa na mpenzi so kwa sasa itachukuwa muda kuzoea hali ya kutokuwa nae.
upo sahihi kabsa na kurudi hapana kwakwel sema inauma sana jaman!!!!!!!!!!!
najitahd ila duh, pagumu, aksante ushauri mzuriWaswahili Wanasema Kula Kitu Roho inapenda, hamna haja ya kulazimisha huzuni wakati unaijua furaha yako au kulazimisha huzuni wakati ipo furaha. Ni Wewe Mwenyewe ndiye mwenye kuweza kumfahamu vizuri m2 wako kuliko sisi hivyo fanya uamuzi sahihi wakati sahihi.
aksante sana najikaza dats y roho inagoma kumt naeAsikushughulishe,wachana na sms zake na usimjibu keshajua kama huchomoi kwake ndio anakufanya chambio lake,anataka kuja kwako kufanya nini? na wewe shosti jikaze kike usituangushe ebu jipe cheo usikubali mwanamme akuchokoe roho kwa lipi hasa?
kucheat kunatokana na nn sasa??????? 1kauli zake, 2 hajatulia, suala la kunijali tu siwezi rahum kvle anajitahidiUmesema bado unampenda, yy pia kaomba msamaha anakupenda, & u have 2gether for 3yrs, heeeee sasa unataka nini? jitambulisheni mfunge harusi, kugombana jambo la kawaida sana, ila je huyo dume lako anakujali? Mfano kimahitaji meaning anakusupport kwa vitu vyako? Je anapenda ndugu zako? Sasa ni kuoana tu, acha kulalama....achana na watu msamehe, endekezeni maisha, utabaki na manung'uniko weeee, ya nini unampenda, aanakupenda, basi kwishnei....
matukio ni mengi nimevumilia sana mpaka nachoka sasa mda wote nakuwa mtu wakumia tuuuuuuuuuuuBasi we ndiye kinyonga... Unabadilika badilika maana husomeki, inaelekea hapa unajitetea tu, hatujui ukweli or other side of story, kama unampenda bado, yy karudi tena kwa msamaha na anakupenda, ww unasema hapana basi, ooohhh...sijui nini, ww ndiye tatizo basi....
matukio ni mengi nimevumilia sana mpaka nachoka sasa mda wote nakuwa mtu wakumia tuuuuuuuuuuu