Msaada Jamani

Msaada Jamani

Joined
Jul 7, 2019
Posts
21
Reaction score
25
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.

Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).

Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .

Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.

1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?

2.Inawezekana kutibika ?

3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?

Msaada inahitaji wakuu.
 
Usitafute promo kwa wadada na kujidanganya kama watakujia Pm. Wanawake wa sasa hata kama wana haiba kama yako ila pesa mbele mapenzi kama kisigino tu kukaa nyuma. Fanya kazi mwanaume hasifiwi kwa ukahaba
 
Tangazo limewafikia walengwa

Muhimu usifunge PM....watakuja 'wazima wazima'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom