Zooxathellae
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 323
- 278
Yaan mkuu ni shida...hali hii inanipotezea confidenceTuliza akili dogo
The fact kuwa bado unamfikiria yule na pia we kuhofia kumaliza mapema kuna kuumiza akili
Ndo kitu gani mkuu..na unapatikana wapi!..tafuta mkuyati
Asante kwa ushauri mkuuAnza kula nyama ya watu wanene inaongeza nguvu za kiume, ukianza kutumia atanyooka tu
Tafuta mdada wa kichaga yeye hata dakika moja anaridhika tu hawanaga shida
Sina uzoefu nao me nasikiaga tu kwmy vibanda vya kahawa
Pesa unayo?Ndo kitu gani mkuu..na unapatikana wapi!..
Salam zenu wakuu.
Nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wangu kwa muda wa miaka 3 na uhusiano wetu ulikuwa strong. Katika suala LA mapenzi kila mmoja alikuwa akiridhisha mwenzie bila tatizo. Wakati huo wote nilikuwa na uwezo wa kumfikisha crimax hadi anasema imetoshaaa. Ila kwa sasa siko nae katika mahusiano tena.
Kwa sasa niko na mpenzi mwingine ila shughul yake ni kwamba tukiwa tuna -do...huwa sichukui hata dakika 2 nakuwa nisha fika wakati yeye ndo bado kabisa.
Naombeni ushauli...ni kwa nini uwezo wangu kusex umeonekana kuwa mdogo nikiwa na huyu mpenzi wa sasa..
It pain aisee...karibu..
Hiyo nayochabgamoto DuhSalam zenu wakuu.

Naamini hilo si kweli...ungesoma nilichokiandika vizuri ungenielewaTendo la ndoa nalo ni kipaji kwahyo utakuwa huna kipaji kunako 6*6