Msaada jamani

Msaada jamani

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habar wana teknolojia naomba msaada jamani computer yangu aina ya dell inspiron inagoma kuwaka(Hai display chochote) bali inatoa mlio tu wa kama beep kama mara mbilimbili hivi yaani...piiiipiiiiii,......Tangu asbh nilikuwa natumia vizuri mchana nikaizima nikafungua nyuma kwenye RAM nikazitoa kisha nikazirudishia baaada ya hapo sikuiwasha ndio nimeiwasha saivi jioni hii inanifanyia ivo.......nimejaribu labda ile RAM sikuiweka vizuri nikafungua na kuirudishia tena lkn bado naomba msaaada weledi wa mambo haya jamani
Natanguliza shukrani
 
Ulijaribu kubadili RAM upande mwingine. Kama jibu ndio basi tatizo motherboard itakuwa imeharibika
 
Ulijaribu kubadili RAM upande mwingine. Kama jibu ndio basi tatizo motherboard itakuwa imeharibika
Daaah...Finally imewaka nilijaribu tena kuseat RAM kumbe ilikuwa haishiki sawasawa hadi mwisho.....But thanks numerator kwa concern yako stay blessed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom