kama unaweka window xp wara nyingi jamaa huwa wanalock kwenye bios, inahitaji kuchange baadhi ya settings ili uweze kuendelea. Lakini kwanza uangalie uwezekano wa kupata drivers za os unayotaka kuweka kabla ya kuformat au ufanye repair.kama ni window7 au vista bora ubadili cd