U Unplaned One's Member Joined Aug 9, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Oct 14, 2015 #1 Jamani wana jf tafadhali nawaombeni mnipe taarifa kamali kuhusu join instruction za udom kama zmetoka au la maana wa2 wengne wanasema zmetoka sasa kama ni kweli tunazpataje! please wanajamiiforum
Jamani wana jf tafadhali nawaombeni mnipe taarifa kamali kuhusu join instruction za udom kama zmetoka au la maana wa2 wengne wanasema zmetoka sasa kama ni kweli tunazpataje! please wanajamiiforum
lettymololo Senior Member Joined Mar 17, 2014 Posts 132 Reaction score 11 Oct 14, 2015 #2 Kwanini hukuwauliza hao watu wanaosema/waliokupa taarifa kwamba zimetokaa? Halafu chuo hua hatuiti joining instruction, zinaitwa admission letter.
Kwanini hukuwauliza hao watu wanaosema/waliokupa taarifa kwamba zimetokaa? Halafu chuo hua hatuiti joining instruction, zinaitwa admission letter.