msaada jamani samsung galaxy exhbit T mobile haikubali network

msaada jamani samsung galaxy exhbit T mobile haikubali network

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
hii simu ni mpya, nikiweka line nikipga inasema NOT REGISTERED ON NETWORK, nimefanya manual configuration ya internet pia imegoma kufunguka. Msaada wenu plz tatzo ni nini?
 
Ina maana simu yako ni locked haikubali sim card isiyokuwa ya T Mobile. Unachotakiwa kufanya ni kupata unlock code au kuiflash. Nenda hapa ili kupata unlock code
 
mkuu huwa simu za t-mobile za sasa huwezi ku unlock frequency yao ya 3g ni 1700 wakati bongo tunatumia 1900 au 2100 so ni never kukubali uza tu hio simu.

kwa 2g unaweza tumia nenda setting then mobile network then network mode chagua gsm kama network
 
Unsupported Browser Nafikiri simu yako iko blocked, jaribu kuingiza IMEI number kwenye box ya hiyo link itakwambia kama ipo reported as lost or stolen. Halafu tujurishe.
 
Unsupported Browser Nafikiri simu yako iko blocked, jaribu kuingiza IMEI number kwenye box ya hiyo link itakwambia kama ipo reported as lost or stolen. Halafu tujurishe.

Congratulations This device has not been reported as lost or stolen and is currently available for use🙂. Mkuu imeniletea maneno hayo.
 
mkuu huwa simu za t-mobile za sasa huwezi ku unlock frequency yao ya 3g ni 1700 wakati bongo tunatumia 1900 au 2100 so ni never kukubali uza tu hio simu.

kwa 2g unaweza tumia nenda setting then mobile network then network mode chagua gsm kama network

Kwahyo mkuu hata nikiiflash cwez pata 3g?
 
haya Jaman Na Mm Msaada Hapa Hapa! Kuna Mtu KANLETEA androids ya vodaföne ila ni Ile Huawei U8160 au Wengne Huziita Vodafone 858 Smart nmuwekee Internet! Nmecreate APN vzur Ila Pale Juu Haitokei E, Wala H wala G ! sasa Hapa Inataka kunipasua Kichwa! sjui Mnanisaidia Vp?

Huawei-U8160-is-rebranded-to-the-budget-friendly-Vodafone-Smart.jpg
 
Mkuu vp kuhusu galaxy music ni nzuri kwa matumizi yetu ya kibongo?

kama unavyoona jina lake ina maana imetengenezwa kwa watu wanaopenda kusikiliza miziki/audio na sio wacheza game wala wanaopenda kubrowse net
 
haya Jaman Na Mm Msaada Hapa Hapa! Kuna Mtu KANLETEA androids ya vodaföne ila ni Ile Huawei U8160 au Wengne Huziita Vodafone 858 Smart nmuwekee Internet! Nmecreate APN vzur Ila Pale Juu Haitokei E, Wala H wala G ! sasa Hapa Inataka kunipasua Kichwa! sjui Mnanisaidia Vp?

Huawei-U8160-is-rebranded-to-the-budget-friendly-Vodafone-Smart.jpg

1. make sure mobile data imetikiwa possible ipo off

2. ikishndikana kwenye kutengeneza apn nenda apn type eka default au acha blank
 
yah kama ni t-mobile hii ninayoijua mimi huwezi maana ni hardware zake ndo zipo tofauti.

ila try ur luck

mkuu ni kweli ulivyosema niliirekebsha na ikagoma kupga mzgo kwa 3g...nshaisukuma tayari kwani ilikuwa inasoma edge tu. ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom