Msaada jamani pita hapa

Kama unatumia simu ya android fungua playstore, upande wa kushoto kwako juu kuna alama kama ya sawa sawa uibonyenyeze hiyo, shuka chini kwenye setting utaona Notifications, chini utaona App Updates available, ipige tick hapo mwishoni itakuwa tayari.
 
Sawa mkuu ngoja nikacheki
 
Ili tatizo limeanza baada ya kubadilisha Gmail
Umebadilisha lini? Inawezekana tangu ulipo-update bado hawajatoa update zingine hivyo usubiri, au ikiwa tatizo ni notifications tu, nenda pale uangalie apps zote ikiwa zinahitaji update zitakuonesha tu.
 
Majuzi tu but leo nimeingia nikasearch jamiiforums ndio nikajua inahitaji update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…