dranx Senior Member Joined Dec 31, 2018 Posts 189 Reaction score 84 Feb 21, 2019 #1 Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Naomba mwenye kujua anisaidie. Necta wanaangalia kitu gani mpaka wampangie mtu combination ya HGE ??
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima. Naomba mwenye kujua anisaidie. Necta wanaangalia kitu gani mpaka wampangie mtu combination ya HGE ??
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,344 Feb 21, 2019 #2 Kwanza uwe na vigezo vya ujumla vya kwenda advance ukiacha kile cha kwenye combi uwe na point zisizo zidi 10. Kwa kuwa hujafanya Economics basi uwe na ufaulu mzuri H na G. Ni vizuri pia kama una ufaulu wa B/Math.
Kwanza uwe na vigezo vya ujumla vya kwenda advance ukiacha kile cha kwenye combi uwe na point zisizo zidi 10. Kwa kuwa hujafanya Economics basi uwe na ufaulu mzuri H na G. Ni vizuri pia kama una ufaulu wa B/Math.
Kijana matata JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 603 Reaction score 307 Mar 3, 2019 #3 . Sent using Jamii Forums mobile app