Msaada jamani ninashida na hii kitu

muyatz

Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
50
Reaction score
19
Nitaipata wapi? na kwa bei gani? msaada jamani mtu ambaye anacho au hata kama kipo dukani shi ngapi?
 
Nenda kwenye maduka ya simu au music system utapata..bei sijui.
 
maduka ya camera nenda, mi nilinunua yangu class 10 64gb kwa 50,000. mtaa wa uhuru na congo kama unaenda uhuru na swahili mkono wa kulia angalia kuna maduka mengi mengi ya camera.

ila hakikisha una kifaa cha kutestia, usije ukaingizwa mjini.
 
wapi dar es salama au wapi uo mtaa wa uhuru congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…