SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Eti unawezaje kuhesabu siku za ujauzito... Yaani mfano nimesex nae leo akiwa katika siku zake za hatari.. Je kama baada ya wiki mbili akija kuniambia ana mimba hiyo mimba itakua ni ya wiki mbili au!? Yaani swali langu la msingi MIMBA HUANZA KUHESABIWA SIKU NGAPI BAADA YA KUSEX.. Na pia kipimo cha utrasound kinaweza kudetect mimba inapofikia muda gani?
MSAADA WENU maana nipo latika wakati mgumu sana...
MSAADA WENU maana nipo latika wakati mgumu sana...