Kama wameshakupa onyo ndiyo adhabu umeshapewa, sasa wanahitaji maelezo gani tena.
Anyway, if you got on absent on consecutive 5 days it means you absconded yourself.
Kinachoonekana ni kwamba wewe mwenyewe umejikanganya sana kwenye hii thread.
Haiwezekani upewe onyo then unaambiwa utoe maelezo.
Ninavyojua ni kwamba unatakiwa utoe maelezo ya kosa lako, the management ikiridhika wana determine adhabu unayotakiwa kupewa.