Ni duka gani la vitabu lililopo kariakoo ambapo naweza kupata hiki ktabu the last plague, nina shida nacho sana . Ata kama utakuwa nacho ktk mfumo wa soft copy unaweza nitumia ...
The Last Plague a.k.a Crossroads By Meja Mwangi.
Kupata soft copy za vitabu vya kiafrika ni changamoto.
Nikikipata nitakiweka hapa!
Walio dar wakipita hapa watakuelekeza bookshops ambazo utaweza kukipata.
Halafu siku nyingine ukiwa na ombi, uwe unasema title ya kitabu na mwandishi (MAJINA YOTE)
Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app