Msaada jamani napenda sana kujua!

Msaada jamani napenda sana kujua!

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,385
Reaction score
642
Heshima kwenu Wanajamvi!

1.Ndugu zangu naomba kujua simu za android ndio zenye mfumo upi au ni simu zipi?

2.Na zingine nasikia symbian.

3.Simu yangu ni Nokia E5 ni mfumo upi?
 
najtahd ili unielewe vzur kama sjaeleweka uliza!

Kalendi said:
1.Ndugu zangu naomba kujua simu za
android ndio zenye mfumo upi au ni
simu zipi?
simu za Androids N simu zinazo tumia Android Operating System ! Android ni Os (operating System Inayomilikiwa Na Google Inc.. Simu znazotumia Android os ni Kama Samsung ila katika Galaxy seriez maana samsung nyngne znatumia java na nyngne zna tumia windows na Nyngne Znatumia Bada os! pia kuna Baadhi ya Htc, sony ericson, san francisco, motorola, huawei, zte, tecno, gtide, gfive, lg , micromax, xiaomi na nyngne hazjulikani maana androids ni open source so hata michina mingi now lmekua kimbilio lao!

Kwa maelezo kuhusu androids Pitia Link Hii Chini
Androids Operating System

kalendi said:
2.Na zingine nasikia symbian
simu znazotumia Symbian Kwa asilimia Kubwa ni Nokia hasa e seriez na N seriez pia kuna baadhi ya c seriez kama c5, c6 na baadhi ya x seriez kama x5, x6, x7 pia kuna nokia 808 pure view ambayo ndo Symbian ya Mwisho Kutengenezwa na Nokia ! Maana nokia wamesitisha kutumia mfumo huu na wamehamia windows kama uonavyo kwenye simu za Lumia seriez... Mfumo huu pamoja na kumilikiwa na nokia ila kampuni nyngne kubwa kama samsung, sony ericson na motorola wamewah kutumia piaaa.? Miaka ya nyuma ilikua kama android ilivyo sasa!

Kwa maelezo kuhusu symbian Pitia Hapa chin
Symbian Operating System

kalendi said:
3.Simu yangu ni Nokia E5 ni mfumo upi?
simu yako Ni Symbian! hakuna nokia yenye androids... kama nlivyo eleza mwanzo smu za nokia zenye symbian kama znazoanza na N , E, Baadhi ya C seriez na Baadhi ya X seriez ... Yako imeanza na E so its Symbian Smartphone
 
Asante sana Mkuu nurbert kwa elimu ya kutosha!

Naomba usinichoke nina swali la nyongeza kuhusiana na hayo makitu.

Labda kati ya hizo Symbians na Androids systems ipi yenye ubora hususani kwa sisi walevi wa internet?
 
Asante sana Mkuu nurbert kwa elimu ya kutosha!

Naomba usinichoke nina swali la nyongeza kuhusiana na hayo makitu.

Labda kati ya hizo Symbians na Androids systems ipi yenye ubora hususani kwa sisi walevi wa internet?

Naweza kusema Android ni nzuri,ipo fasta na inatumia teknolojia kubwa na kuprove hilo simu zinazotumia Android ndio zinaongoza kwa mauzo duniani sasa hivi.Uzuri pia sio lazima ununue simu za gharama kama galaxy s2 au s3,s4 au htc one kuna simu za bei ya chini kama galaxy mini etc zinatumia Android na ziko poa sana.
halafu jamaa amekupa maelezo yote hayo hujampa hata like?
 
Napenda sana kumpa "Like" lakini ndio hivyo tena natumia simu. Na simu yenyewe ndio hiyo nokia E5(symbian)
 
Napenda sana kumpa "Like" lakini ndio hivyo tena natumia simu. Na simu yenyewe ndio hiyo nokia E5(symbian)
Hahah pamoja mkuu. Fanya mpango kitu cha android basi
 
Back
Top Bottom