Jamani nimefungua pub & restaurant nahitaji mtu,stationary ambayo naweza kupata badge za wafanyakazi wangu..naomba mwenye uzoefu ujuzi anayeweza hii kazi tuwasiliane.. Inbox me tuongee dili
Tafuta watu printing na sio stationary. kama ni stationary ziwe kubwa zaidi. Angalia watu kama Imaging Smart - 0787335962 au 24 Hrs Printing - 0717653544. Hope watakusaidia.