Nashukuru mkuu huko kote nshafika na nilitafuta sana hizo key zenyewe lakini hawa maUploader ni wajanja wanataka uDownlod setup nzima ikiwa attached with key. Sasa nitachofanya ni kununua bundle zingine nivute hiyo file nzima nikopi hizo key na niDelete hiyo setup cause yaweza kuwa affected