Mwisho wa mwaka jana nilimpata my soul mate mwanamke ambae alikizi kila kigezo nilichohitaji kwa mwanamke, ninampenda sana nimemfanyia kila ki2 kicho ndani ya uwezo wangu, namjali sana sita weza muumiza kwa makusudi.
Ni mpole ana nidhamu inshort a wife material. Huyu binti aliwahi kuchumbiwa wakaachana mwaka jana mwezi wa 11 kwa sababu jamaa ali mcheat 2 wik ago, wazazi wa mwanaume walienda kwa wazazi wa mwanamke kuomba msamaha wakakubaliana na wakapanga ndoa ifungwe june, wazazi wa binti wamemng'ang'aniza olewe kwa madai yake alikua nampenda zamani sio sasa, naombeni msaada nifanye nini wadau nipingane na wazazi au?
Ni vigumu kumpata binti kama huyo tena ni mwache aende kwa jamaa wakati najua atamuumiza tena?
Yeye yuko Mbeya wazazi wako Tanga.
Naombeni ushauri wadau ndiyo naachwa mwenzenu.
Kaka hapo penye nyeusi sana (bold), umetuchanganya mno, Unamaanisha mchumba uliyenaye ulimpata mwaka jana mwishoni, na kabla ya hapo alikuwa na mtu ambaye walichana naye mwaka jana mwezi wa 11 (Maana yake ulikutana naye muda mfupi sana baada ya yeye kuachana na yule mchumba wake!). Wiki mbili zilizopita (umeendika kwa kizungu, 2 weeks ago, Huyo mchumba wako alifumaniwa na mchumba wake wa zamani! Na hapo sasa wazazi wameingilia kati!
Nimesoma sijaelewa, ila kwa kifupi na kwa ushauri wa bure huyu dada ana play arround na akili zenu, nakushauri anza taratibu kabla hajakupatia magonjwa ya kutisha!
mi na 30yrs,
yani ndio naenda kumuona nimesha toka kazini, leo kazi haijaenda kabisa! Duh.........mapenzi haya
yani ndio naenda kumuona nimesha toka kazini, leo kazi haijaenda kabisa! Duh.........mapenzi haya