Tatizo sasa limebaki kwa zile applications za samsung ambazo nyingine zilikuwa useful sana kwangu kama vile Battery Life Extender,n.k. Nimeenda kwenye website ya samsung sijaziona au pengine ninakosea namna ya kuzitafuta. kama kuna namna ya kupata zile applications ndugu zangu, tusichoke kusaidiana.