Unachohitajika kufanya hapo ni kuandika barua ya kuomba TIN yako ibadilishwe kutoka kwenye Business TIN na iwe Non-Business. Ikashabadilika hapo utakuwa salama.Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat sina fremu Bali nachezesha kihome nilishauriwa n friends nikachukue TIN ili nisije niksumbuliwa na baadhi ya watu, lakin leseni sikuchukua nilipata TIN Pekee hiv Leo nimekwenda kulipa deni ninalodaiwa na nataka nifunge Ile TIN, kwasbb nimeambiwa Mimi ningechukua kitambulisho nikaenda jiji nikpewa fomu toka jiji lakin baadhi y sehemu kweny Ile fomu inatak ujaze taarifa za leseni na Mimi sina je hapo nifanyeje?
Je walikuja?But me sitafunga kazi yangu cause kama unavyoon hapo kweny picha sio fremu ni kihome, nadhani wao wenyewe wakija watachoka jinsi kulivyo
Naomba unipigie namba ya sim 0757341970Habari zenu, wakuu naomba Msaada ulikuwa ni tareh 27 mwezi wa 7 mwaka Huu 2021, nilikwenda Tra kuchukua TIN number nikafanikiwa kupata Biashara yangu ni playstation Nina TV moja chogo na moja flat sina fremu Bali nachezesha kihome nilishauriwa n friends nikachukue TIN ili nisije niksumbuliwa na baadhi ya watu, lakin leseni sikuchukua nilipata TIN Pekee hiv Leo nimekwenda kulipa deni ninalodaiwa na nataka nifunge Ile TIN, kwasbb nimeambiwa Mimi ningechukua kitambulisho nikaenda jiji nikpewa fomu toka jiji lakin baadhi y sehemu kweny Ile fomu inatak ujaze taarifa za leseni na Mimi sina je hapo nifanyeje?