Cleopa Malcom
Member
- Feb 25, 2018
- 8
- 4
Nimepata ufaulu wa div 3 ya point 17 kwa comb ya CBG ila point zangu hazifiki 4 ninaweza kupata chuo kweli na kama nikipata ni faculty gani ?
Duuu kwa iyoo mtu akizingua anakuwa mwalimu???? Ndo maana tamisemi wameshajiongeza,,,, saiz mwalimu unaomba kaz na kutuma cv tamisemi,,, kama una four zako za ajabu,,, kazi unayoooo,,, utabaki kulaumu et umerogwa kumbe ulijiroga mwenyewualimu pale TEKU unakuhusu
Matokeo ya form four ni mazuri kabsa kwaio nkiambatanisha na chet cha form four spati chuo?Na kama ni kwa degree ya kwanza ungekuwa na principle passes mbili yaani D mbili kupanda juu na atleast jingine lolote ila liwe principle na form four umefaulu vizuri lakini kwa hizo point zako sidhani ila usikate tamaa jaribu diploma utafika unapokwenda na watu wasikukimbize na muda wao wa kwako upo utafika.
Kwa degree mkuu?ualimu pale TEKU unakuhusu
Siwezi kukuambia utapata au utakosa ila ninavyoelewa kama huna hata point nne masomo matatu yaani D mbili hata na E moja au D mbili na F ya pure (kwa EGM,PGM,PCM maana PCB na CBG ukipata hivi utasumbuka sanaa) kwa mtu wa PCB na CBG ukipata F halafu huku kwingine una D mbili itakuwa vigumu kupata chuo maana CBG na PCB huwa ni wengi mnoo mimi nakuomba usikate tamaaa apply diploma ya afya kwa sasa hivi kama unataka MD nenda machame kama ni ishu nyingine angalia KCMC n.k au kama ni ishu za Eng angalia DIT,mbeya n.k ila usikate tamaa na usiwe na expectation kubwa kupata bachelor nakuomba apply kote hata diploma ili usibaki mtaani mwaka mzima hamasa yako ya kusoma itapotea mdogo wanguMatokeo ya form four ni mazuri kabsa kwaio nkiambatanisha na chet cha form four spati chuo?
Chukua huu ushauriHapo kwa Degree hapati ila mfanyie mpango kama ana matokeo mazuri form 4 aombe diploma.