ContinousImprovement
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 290
- 285
Jamani nashindwa kuunganisha laptop yangu na WiFi ya simu yangu Samsung J7. Tafadhali naombeni mnisaidie.
Computer yangu ni aina ya Acer Aspire R 11. Na imekuwa installed window 10