Kama remote ina button ya audio uibofye na kutatokea maneno ambayo ni 'left','right','stereo' n.k kutegemea na aina ya deck hafu chagua moja baada ya nyingine na uipe ok. Utakapoipatia sauti itaanza kutoa. Km audio button haipo angalia button iliyoandikwa L/R ui 'click' ama bofya huku ukisikiliza sauti kila single click na km hiyo haipo nenda setting na ufanye configuration ya sound/audio kufuata procedure no. moja. Ikishindikana yaweza kuwa waya mmoja wa sauti haufanyi kazi kama si tundu mojawapo na hivyo sauti inatoa kwenye tundu 1 pekee.