msaada jaman....!

msaada jaman....!

Mmmhhh umenitisha, km kuna ka ukweli flani hv, anyway sijui...........msiwakimbie maskini jamani, nao wana tabia njema pia wakipata!!

Ukweli mtupu, watu wasionavyo ndo walivo siku wakivipata utawasahau....!!!!!!!
 
Poleeee kwa kuwa bado unampenda sana,ila wahenga walisema akufukuzaye hakwambii...........malizia,usichukue hatua haraka fanya uchunguzi wa kutosha kujua chanzo cha mabadiliko yake kisha ukijua ni kwa sababu upendo haupo tena au amepata mwingine jiondoe mapema japo itakuumiza na si rahisi,kuliko kumlazimisha muendelee naye,kwani wanaume sikuzote wana huruma kwa wanawake kwa hiyo ukimlazimisha anaweza kukuoa kwa sababu ya huruma na sio mapenzi jambo ambalo halifai kwani ndoa lazima iunganishwe na mapenzi au upendo na si kitu kingine.Halafu pia maumivu utakayoyapata baada ya kujua kuwa mmeo alikuoa kwa sababu ya huruma na si mapenzi ni makali zaidi kuliko maumivu utakayoyapata sasa hivi kwa kuachana naye.

Finito!!
 
Upo sahihi sana kiongozi.......ila mapenzi yana upofu flani hv, sijui huwa inatoka wapi!!!!

Umenena kweli kuhusu upofu, ila maisha ya sasa akili kumkichwa. Kupenda inaongelewa zaidi kuliko kutendwa, ni muhimu wanadada wakatafuta kwanza dira za maisha kwani wanaume hawapendi wanawake wasio na dira, maisha magumu atieeeeeeeeeeee. Kama mwadada ni mzuri hana dira watamtumia kama mpira uwanjani kisha wanamdampo kwenye dustbin.
 
Ukweli mtupu, watu wasionavyo ndo walivo siku wakivipata utawasahau....!!!!!!!

Mamaaaaaaaaaaaaaa..............edit kidogo basi Evelyn Salt, watatukimbia ujue!!
watajua ati kumbe hatuaminiki sie..............akina apeche alolo tupo wengi humu!!
Ooohh tutakulaani wakitukimbia base on this ground!!!!
 
"Masikini hana tabia"
sahivi kishapata na hiyo anayoonesha sahivi ndo tabia yake halisi!!!!!!!
uamuzi ni wako sasa uvumilie au uchape lapa.......

Uko sahihi mkuu, zaidi naona tatizo ktk huo muda wa u-bf na gf,ni mrefu mno. Muache upange malengo yango upya.
 
Umenena kweli kuhusu upofu, ila maisha ya sasa akili kumkichwa. Kupenda inaongelewa zaidi kuliko kutendwa, ni muhimu wanadada wakatafuta kwanza dira za maisha kwani wanaume hawapendi wanawake wasio na dira, maisha magumu atieeeeeeeeeeee. Kama mwadada ni mzuri hana dira watamtumia kama mpira uwanjani kisha wanamdampo kwenye dustbin.

Mmmmhhhh...........unaniua na dira, nimeipenda hilo neno!!
 
Pole sana shostito, maisha ndivyo yalivyo. Sisi binadamu hatuna appreciation kabisa, na hatuthaini yale mazuri tunayotendewa na wenzi wetu.

Wengi wetu hatujui thamani ya mapenzi, mapenzi tunayachukukulia juu juu na wala hatujali kuwaumiza wenzetu. Ndo huyo mpenzi wako.
Mchukulie powa, jitahidi kutokujikondesha na kujiumiza roho, maana wewe unateseka yeye huko alilko anafuraha maisha na wala hajui wala kujali kama unateseka na unateseka kiasi gani.

Endelea na maisha yako, just relax na muombe Mungu akusaidie ku overcome haya.

Be Blessed.
 
Unajua haya mambo lazima ukubali ukweli.. Mambo ya kumng'ang'ania mtu ndio maana tunaishia kuumizwa..!

Umenena kweli sana kiongozi tatizo ni kuwa wengi wanashindwa kubaini kuwa hapa napendwa ama sipendwi(kwa uhakika zaidi), lakn pia wengi wanashindwa kubaini km kweli hapo ndio mwisho wake wa kupenda ama bado ana safari ndefu ya kupenda, na hapo ndipo penye tatizo.
 
hapo huna chako bidada....achane nae wala asikupotezee muda.
Angalia usitaarabu mwingine na maisha yatasonga km kawaida tu.
 
yaani wewe bado msichana unakata tamaa mapema hivi?
mtu ukiona haeleweki unaachana naye tu....
usijifungie milango mdogo wangu, mtu wako atakuja tu
 
naomben mnisaidie wana jf wenzangu...me ni msichana nmedumu na my bf takriban miaka 4 mapenz yetu yalikuwa mazuri before my bf ajapata kazi now kapata kazi kanibadlikia sana mpaka siamini kama ndo yeye 2liyekuwa tunapendana na week ya tatu sasa hapokei cm yangu mpaka ni2mie namba nyingine nkimuulza ananiambia hayuko sawa akiwa sawa ataniambia sababu imefkia mpaka hatua kahama bila kuniambia naskia kwa watu tu.Naumia sana natamani ni control hii situation but iz very diffucult sielew why ananifanyia hv msaada jamani bdo nampenda sana
itakua unataka ndoa nin..hahahaha..mim nauhakika..kama wewe ungepata kazi na yeye hana ungefanya haya haya tu ya kuzingua..so..kama kuna kupenda tambua kama kuna kuachwa tu..hahahaha..sifurahiii...ova..btw pole sana..
 
Wanaume ndivyo walivyo, alikuwa anaishi nawe kwakuwa hakuwa na kitu, akipata anakuona huna thamani yoyote kweke. Achana naye angalia mbele: Maisha ni nzunguko.
 
Jichunguze huenda kuna kitu ulimkosea so anatafakari jinsi ya kukwambia, au subiri akueleze mwenyewe atakapokuwa sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom