msaada jaman

msaada jaman

Manyoricko

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12
Reaction score
8
nina chip yang ya zantel nimejiunga na huduma ya epiqnation nikajarib kuichomeka kwenye modem ya zantel ambayo imeisha bundle but imegoma kufungua website inaniambia nirecharge msaada wanajamvi
 
Mi hata sitaki kuwasikia hawa watu walikula 250MB baada ya modem yao kugoma ku download
 
nina chip yang ya zantel nimejiunga na huduma ya epiqnation nikajarib kuichomeka kwenye modem ya zantel ambayo imeisha bundle but imegoma kufungua website inaniambia nirecharge msaada wanajamvi

mkuu modem za zantel ni cdma line zao ni gsm sidhani kama hicho kitu kinawezekana.

Au hiyo modem iwe gsm nayo
 
Mkuu modem za zantel hazitumii lain ya simu ya mkononi.make modem yenyewe ina lain na lain zake zinaanza na 0775xxxx.. Ukitaka kuijua namba ya hiyo modem connect hiyo modem kisha kwenye popup software ya zantel ingia call piga kwenda no.yoyote ya simu yako ikiingia hiyo calling.basi hiyo ndo lain yake ambayo utaiwekea salio.ukikwama nijulishe
 
Aisee, kuna haja ya ku-introduce VAT before posting to the forum.
 
Back
Top Bottom