kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,166
Sijui kwa kweli..uliomba nafasi gani kwani?Ila mbona hawajatoa taarifa ya kutokuitwa ...?
Wametulia tu Sasa duuh
Yap aende kweny My application na kama kazi ilitangazwa siku nyingi na asha apply nyingne asiangalie pale juu ashuke chini mpaka kweny kazi husika ataona number.Namba lazima waweke wakati uo uo nenda kwenye my applications then angalia
Me niliomba self microfinance, toka jmos wameweka number.Mm nimeitwa za TARI na mpaka muda huu sijaona number kwenye account yangu
Barua ya serikali ya mtaa yenye muhuri na picha Yako ya passport size + loss report..... Online copy hawachukui hata kidogo Tena utatimuliwaNimefanikiwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tarehe 26 mwezi wa 3 mwaka 2022.
Lakini changamoto niliyonayo ni kwamba nimepoteza kitambulisho cha utaifa na hata vitambulisho vingine pia sina.
Hivyo wakuu wangu naombeni msaada wa mawazo ni hatua gani naweza kuchukua ili niweze kufanya usaili huu.
Natumaini wapo watu walishapitia changamoto kama yangu hivyo kupitia uzoefu wao wanaweza kunielekeza Jambo la kufanya na hatimae nikafanikiwa kufanya usaili.
Mkuu niachie namba yako PM tubonge(tupo TARI wote)Basi wataweka tu kwasababu nimejaribu kuulizia pia wasailiwa wengine walioitwa kwanye usaili pia hawajawekewa namba.
Aisee ni PM upate copy ya Nida chapNimefanikiwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tarehe 26 mwezi wa 3 mwaka 2022.
Lakini changamoto niliyonayo ni kwamba nimepoteza kitambulisho cha utaifa na hata vitambulisho vingine pia sina.
Hivyo wakuu wangu naombeni msaada wa mawazo ni hatua gani naweza kuchukua ili niweze kufanya usaili huu.
Natumaini wapo watu walishapitia changamoto kama yangu hivyo kupitia uzoefu wao wanaweza kunielekeza Jambo la kufanya na hatimae nikafanikiwa kufanya usaili.
Online copy works kwenye Secretariat akitumuliwa anPMBarua ya serikali ya mtaa yenye muhuri na picha Yako ya passport size + loss report..... Online copy hawachukui hata kidogo Tena utatimuliwa
Haifanyi kazı....Mimi nlienda usaili February mwaka Huu Huu na watu walitimuliwa na hzo online copy....wakakubaliwa wenye barua ya serikali ya mtaaOnline copy works kwenye Secretariat akitumuliwa anPM
KinakubalikaSawa mkuu, Asante sana kwa ushauri, na vipi kuhusu kitambulisho cha mkazi
Sasa nakwambia wakikutalia uniPMHaifanyi kazı....Mimi nlienda usaili February mwaka Huu Huu na watu walitimuliwa na hzo online copy....wakakubaliwa wenye barua ya serikali ya mtaa
Mpaka wamkatae duuh! UiSasa nakwambia wakikutalia uniPM
Ase mimi niliomba 2021 oct, na ilikua my first time ku apply kupitia portal nilikuja kuona namba pindi na apply tena march 2022, 2 weeks after usahili kuisha.Yap aende kweny My application na kama kazi ilitangazwa siku nyingi na asha apply nyingne asiangalie pale juu ashuke chini mpaka kweny kazi husika ataona number.
Hii ilinitokea TRA nilikua naangalia namba sioni kumbe ipo.