Msaada jaman,kwa anayejua kutengeneza website

Msaada jaman,kwa anayejua kutengeneza website

Vannesa

Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
49
Reaction score
5
Naombeni mnijulishe ni hatua gani muhimu za kufuata jinsi ya kutengeneza website?
 
Naombeni mnijulishe ni hatua gani muhimu za kufuata jinsi ya kutengeneza website?

Ndo unajifunza ama?
Ila kama unafaham steps huwa ni
1 requirments engneering
2 system design
3 implementation
4 testing and evaluation
5 Maintainance

Kama ndo unaanza
Nakushauri utafutd chuo usome course
 
Back
Top Bottom